Shughuli ndio imeshaanza sasa
Wanadashosti nao hawakuwa nyuma kutusupport waliuzulia kwa wingii...
Wageni wetu rasmi wa shughuli
Uzinduzi wa TAFE ukazinduliwa kwa style hii....
Mmmh..... keki ya TAFE hiyoooo patamu hapo....
Ukafika mda wa alambee ya kuchangisha mfuko wa shirika, hapo sasa wengine ikawa vicheko na wengine huzuni pia keki hailiwi hivi hivi hapo lazima mifuko itoboke haa haa haa.......
Ile waaaah.......... mpunga huoooo wageni rasmi wakaanza kuchangia mfuko taratibu...














Wahooooooooooo!!!!!! Keki pia!!!!!! You are all a group of TREMENDOUS individuals and together you will be a major force in support and developing farmer's skills and knowledge in Tanzania; and in turn their own abilities to support themselves. Heshima kubwa TAFE!
ReplyDelete