Sunday, 16 June 2013

Houtuba fupi ya Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi wa TAFE.

Prof; Mwamfupe (Dean of School of Social Social UDOM) akizungumza, Mh. Twahili (Mkurugenzi Maendeleo Wa Wizara Ya Kilimo, pembeni), akifwatiwa na Mbunge wa Nanyumbu Mh. Dastan Mkapa na Lecturers from UDOM from Department of Develpment Studies Mr. Frank Menda and Mr. Edson Baradyana.


Mgeni Rasmi
Mkurugenzi Maendeleo wa Wizara ya Kilimo;  Maendeleo makubwa nchni yamekuwa yakipeleka vijana Vyuo Vikuu exponentially, is the achievement of trickle down efforts, tukijidistinguish bila kufanya juhudi tutakuwa waombaji, tujidistinguish kitofauti na ombaomba we must become eagles, we must fly to eagles, we must fly to be eagles, hakuna upinzani fly above the rest, Muheshimiwa mgeni rasmi aliongezea kwa kusema; we must copy the form of IPP yani inspiration preparation pastpire, Mbali na hayo alizungumza pia program PADEP mbayo Wizara ya Kilimo inasimamia katika TAFSPG, Wizara inashiriki kwenye utekelezaji wa MKUKUTA ikishirikiana kupitia mradi wa ASP, DADPS, tukianza tutashiriki kwenye miradi mizuri sisi tukawe service providers, malengo yote ya mikakati hii ni to increase productivity and production in the agriculture sector pia mgeni rasmi alitolea mifano ya program mbalimbali zinazoendelea under  Ministry of Agriculture to young Tanzanian kama;
 Home vegetables groups of Arusha farmers.
In Singida and Kibondo a big power group in they produce, process and sell flower. Also Ministry efforts in youth development in Rufiji, we have established a youth center will grow high maize in 55 sectors.
Akamalizia kwa kusema in every aspect of career is later with oppurtunities with heart break and fail, the only different between those who have fail and success, those are hard habits we need hard working, from today and become  the slave of good habit, the most remote place so keep it up to percent until you succeed.

Wageni rasmi wengine waliongea maneno mafupi yafuatayo;

Mwakilishi wa Head of Department of Development Studies UDOM
Mr. Baradyana; anaomba kasi tuliyonayo iendelee katika ujenzi wa taifa

Lecturer of Development Studies
Mr. Menda; anapendekeza siku ya nanenane ifanyike hata siku ya mvua na sio tena kipindi cha ukame kama mwezi wa nane kwa sasa kwasababu wakulima wengi wanakuwa wananjaa kipindi hicho.

Dean of school of Social Science UDOM
Prof. Mwamfupe; Tunaona wimbi jipya la wakulima kuzaliwa lakini sasa na vijana. Tunasoma kukwamua kilimo bila vijana kilimo ni homa ya uti wa mgongo, tunaonyesha kukua kwa uti wa mgongo wa uchumi wan chi, inapunguza kasi ya vijana kukimbilia mijini, wanahitaji mrejesho wa shughuli wanazo zifanya na vyuo vingine vitaiga mfano kutoka chuo kikuu cha Dodoma

Mbunge wa Nanyumbu/Mlezi wa TAFE
Mh. Dastan Mkapa; Nanyumbu ni uwanja wa vita vya mapambano nan i motivation kubwa sana; bado tunatumia jembe la mkono na uduni wa vifaa ila isiwavunje moyo- Nitawasaidia katika hali na mali kuwa bega kwa bega kuhakikisha kuwa TAFE inakua wilayani Nanyumbu.

No comments:

Post a Comment