Baada ya kazi nzuri ya uzinduzi Wageni Rasmi hawakusita kutupongeza
Vijana wa TAFE wakibadilishana mawazo na Mwenyekiti wetu wa TAFE Mr. Victor William ( katikati aliyevaa tshirt jeusi)
Furaha ilizidi kushamili kwa wanaTAFE wengine walishidwa kujizuia kwa kupiga mayowe.
Yani ni furaha tuu.......
Mr Baradyana na Mr Menda nao hawakua nyuma kujipa shavu la picha
Full white ile whaaaaah......
Ni mda wa admin wenu Mr. George Mackona (mwenye tshirt nyeupe) kujipa shavu sasa hapa nipo na wadogo zangu flani hivi kutoka UDOM walikuja kutupa support ya nguvu.












No comments:
Post a Comment