Saturday, 29 June 2013

Kama ulikuwa hufahamu huu ndio ulinzi wa ujio wa Obama.

 

 Baadhi ya Helkoper za kijeshi toka Marekani ambazo zinadaiwa zimeanza kutua kwenye Air Port ya Zanzibar na Dar kwa ajili ya kuimarisha usalama wa Rais wa nchi hiyo.

 Pia ndege maalum ya kivita itasindikiza Air Force One ya Rais Barak Obama

 
  Askari maalum wa kulinda ndege ya Rais

  Walinzi wa rais Obama kama wanavyoonekana
   Helkoper zitasambaa jiji zima la Dar kuanzi wiki hii hadi tarehe 2 Julai atakapoondoka Rais


 Mabodigadi wa Rais Obama wakiwajibika kama wanavyoonekana.




Kwa ujio huu wa Raisi wa Marekani Barack Obama, je kutaleta matumaini kwa WaTanzania? hasa katika kukuza uchumi wetu ambao unategemea sana kilimo.

No comments:

Post a Comment