Rais Obama pamoja na Bush walikutana katika Ubalozi wa
Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima
zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika
shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.
HAPA OBAMA AKITEMBELEA KITUO CHA UMEME UBUNGO
No comments:
Post a Comment