Hapo kuna
picha za kutembelea machamba ambazo tko kwenye bustani, na nyingine ni za
training ambapo tulitrain vijana 15, tukiwa na maoficer wawili kutoka serikalini,
kwenye shamba la nyanya vijana walisha anza kuvuna. huo nche wa nyanya
una toa nyanya 50 mpaka 60. kwa mche mmoja. na waameishapanda sehemu
nyingine karoti kwa ajili ya kuendeleza mradi. training was about
transformation and group formation.then baadaa ya hapo tukafanya need
assessment where the groups proposed the projects they foresee to implement and
prioritize. as well as dressing the support required from Tafe for the
success of such projects, out of having youth seccessful in production of
vegetables, other proposed to start ground nut production where we gave them
Jembe, panga na slesher. also the bee project is planned to began while
assessing on the intervention that will ensure rain water harvesting
schemes for irrigation as the track to drip irrigation system.
any thing more dont hesitate to
ask,
the best wishes.
victor.











No comments:
Post a Comment